“Mungu hatakubali kuwa na mtu katika ufalme wake ambaye hatakubali kutawaliwa naye. Usikubali kutawaliwa na Ibilisi, kubali kutawaliwa na Mungu. Ni jukumu letu kuanza kuishi sasa kama vile tutakavyoishi mbinguni. Shetani anataka uwe na hekima ya duniani ili akupumbaze. Lakini hofu ya Mungu ndiyo msingi wa hekima ya kweli. Ukitaka asikupumbaze, pokea Roho ya Mungu kwa kubatizwa. Ukiipokea Roho ya Mungu utajua mambo ya Mungu, ambayo dunia haiwezi kujua.”

Share & Save

Meaning

Not documented yet.

When It Was Said

Not documented yet.

Who It Was Said To

Not documented yet.

Historical Context

Not documented yet.

Source

Not documented yet.

Original Language & Translation

Originally said in English.

Did They Really Say It?

Not documented yet.

Did You Know?

Not documented yet.

About Enock Maregesi

Enock Maregesi is quoted here; further biographical details are not publicly available.

More from Enock Maregesi (30 quotes) →
"Mungu hatakubali kuwa na mtu katika ufalme wake ambaye hatakubali kut…" — Enock Maregesi | Daily Quotes